Searching...
Jumamosi, 25 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO JUMAPILI MAY 26,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 26/05/2013.


[Mikoa ya Kigoma, Kagera na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika  maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa wa Tanga  na Visiwa vya Unguja na Pemba]:
 [Mikoa ya  Iringa  na Mbeya (Maeneo ya Miinuko)]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua

[Mikoa ya Morogoro, Ruvuma ,Lindi, na Mtwara]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ]:
[Mikoa ya Mara  na Shinyanga]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C               
12:28
D'SALAAM
30°C           
12:11
DODOMA
30°C
12:26
KIGOMA           
30°C
12:52
MBEYA
24°C
12:31
MWANZA
30°C
12:43
TABORA
30°C
12:40
TANGA
29°C
12:15
ZANZIBAR
30°C           
12:11
PEMBA
30°C           
12:04
MOROGORO
30°C           
12:18

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka  Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa; kwa Pwani  ya
                    Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa; kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumapilii: 2605/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 26/05/2013.

  Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!