WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 21/05/2013.
[Mikoa ya, Iringa, Mbeya,
Rukwa na Ruvuma]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua
|
|
[Mkoa ya Dar es Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa ya Kagera Mara.
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Singida na
Dodoma]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya, Kigoma na
Tabora]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro
na Mtwara]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:28
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:11
|
DODOMA
|
28°C
|
12:26
|
KIGOMA
|
31°C
|
12:52
|
MBEYA
|
22°C
|
12:31
|
MWANZA
|
30°C
|
12:43
|
TABORA
|
29°C
|
12:40
|
TANGA |
31°C
|
12:15
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:11
|
PEMBA
|
30°C
|
12:15
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:18
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa
saa kwa Pwani yote.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi .
Matazamio kwa usiku wa leo Jumanne:
21/05/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 21/05/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
0 comments:
Chapisha Maoni