Searching...
Alhamisi, 23 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO ALHAMISI MAY 23,2013



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 23/05/2013.

[Mikoa ya, Iringa  na Mbeya ( Katika Maeneo ya Miinuko)]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua
[Mkoa wa Mara]:
Hali ya mawingu kiasi ,ngurumo katika  maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Rukwa, Ruvuma ,Lindi, na Mtwara]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mkoa ya Mwanza, Kagera na Shinyanga]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya, Kigoma na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C               
12:28
D'SALAAM
32°C           
12:11
DODOMA
28°C
12:26
KIGOMA           
29°C
12:52
MBEYA
24°C
12:31
MWANZA
30°C
12:43
TABORA
30°C
12:40
TANGA
32°C
12:15
ZANZIBAR
30°C           
12:11
PEMBA
30°C           
12:15
MOROGORO
30°C           
12:18

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka  Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani  yote

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi .

Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi: 23/05/2013: Mabadiliko kidogo.

 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 23/05/2013. 

 Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!