WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 01/06/2013.
[Mkoa wa Mara na Kagera]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:
|
Hali ya mawingu kiasi,
mvua nyepesi katika maeneo
machache na vipindi vya jua
|
|
[Mkoa wa Dar es Salaam na
Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro ,
Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Shinyanga, Tabora
na Kigoma] :
[Mikoa ya, Singida, Mwanza
na Dodoma]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mkoa wa Lindi na Mtwara]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:28
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:11
|
DODOMA
|
28°C
|
12:27
|
KIGOMA
|
30°C
|
12:53
|
MBEYA
|
26°C
|
12:31
|
MWANZA
|
29°C
|
12:43
|
TABORA
|
30°C
|
12:41
|
TANGA |
28°C
|
12:16
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:11
|
PEMBA
|
29°C
|
12:16
|
MOROGORO
|
31°C
|
12:18
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini
Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya
Kaskazini na kwa
kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi
Makubwa kiasi
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumamosi 01/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 01/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni