DAVID LUIZ
Taarifa za tetesi za kisoka zinasema klabu ya barcelona na real madrid wapo vitani kuwania saini ya beki kisiki wa chelsea the blues baada ya taarifa za kurejea kwa mourinyo katika klabu hiyo ya london ambapo kutokana na sababu ambazo hazijawekwa wazi zinasema endapo mourinyo kweli atarejea chelsea hawezi kumuhitaji beki huyo
DAVID LUIZ AKIWA MAZOEZINI
KOCHA JOSE MOURINHO AKIFURAHIA JAMBO
DAVID LUIZ AKIFURAHIA MOJA YA VIKOMBE ALIVYOISAIDIA CHELSEA KUVICHUKUA MSIMU ULIOPITA.
FRANK LAMPARD ASEMA HAJAWAHI KUWA NA MAHUSIANO MAZURI WALA YA KARIBU NA KOCHA ALIYEKUA AKIFUNDISHA KLABU YA CHELSEA RAFAEL BERNITEZ
TAARIFA ZAIDI ZINASEMA HATMA YA FRANK LAMPARD NA JOHN TERRY ZIPO MIKONONI MWA MRENO JOSE MOURINHO
0 comments:
Chapisha Maoni