Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu, wakati akimkaribisha
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 13, 2013 alipofika
kwa mazungumzo akiwa ameongozana na mkewe, Je-Ynung. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu na mkewe, Bi. Je-Ynung Byamungu, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu leo Mei 13, 2013 kwa mazungumzo. Picha na OMR


0 comments:
Chapisha Maoni