Katibu
Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi alianza ziara yake Same
kwa kufika ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Same Mwalimu Herman Kapufi
kujitambulisha.
Katibu Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi na ujumbe wake wakipitia baadhi ya kurasa katika kitabu hicho.
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi Donat Mnyagatwa(aliyenyoosha mkono)
akimuonyesha Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi (suti nyeusi) eneo lenye
mgogoro wa mpaka katika Hifadhi ya Mkomazi. Wengine pichani kutoka kulia
ni Mkurugenzi wa Malikale Donatius Kamambaa; Kaimu Mkurugenzi wa
Mipango wa TANAPA Dk. Ezekiel Dembe na Mkurugenzi wa Utumishi Wizara ya
Maliasili na Utalii Said Msambachi.
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi Donat Mnyagatwa akitoa Taarifa ya
Hifadhi ya Mkomazi kwa Katibu Mkuu Maliasili na Utalii pamoja na ujumbe
wake.
Watumishi
wa Hifadhi ya Taifa Mkomazi wakiwa makini kumsikiliza Katibu Mkuu
Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi alipowatembelea.
Katibu
Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi (wa pili kulia)
akizungumza na watumishi wa Hifadhi ya Mkomazi. Wengine pichani kutoka
kulia ni Mkurugenzi wa Malikale Donatius Kamamba, Mkuu wa Hifadhi ya
Mkomazi Donat Mnyagatwa na Mkurugenzi wa Utumishi wa Wizara ya Maliasili
na Utalii Said Msambachi.
Katibu Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi katika picha ya pamoja na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi.
Katibu
Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akiangalia mbwa mwitu
waliohifadhiwa katika uzio maalum kwa ajili ya kuwalinda Hifadhi ya
Taifa ya Mkomazi.
Picha zote na Pascal Shelutete via blogzamikoa
Picha zote na Pascal Shelutete via blogzamikoa
0 comments:
Chapisha Maoni