Searching...
Jumanne, 14 Mei 2013

JAJI SAM RUMANYIKA AFUNGUA VIKAO VYA MAHAKAMA KUU KANDA YA KIGOMA

Askari wakiwa tayari kukaguliwa wakati wa sherehe za ufunguzi wa kuanza kwa vikao vya mahakama kuu mjini kigoma.
 Baadhi ya mahakimu, mawakili na wafanyakazi wa mahakama kigoma, muda mfupi Kabla ya kuanza kwa vikao vya mahakama kuu mjini kigoma.
 Baadhi ya wananchi waliofika wakati wa ufunguzi wa vikao vya mahakama kuu mjini kigoma.
 Baadhi ya majaji wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoaa wa kigoma luten kanali mstaafu wa mwisho kushoto.
Hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa mahakama kigoma na hapo jaji Sam Rumanyika akielekea kukagua gwaride.
 
 Jaji Sam Rumanyika akiwa tayari kulikagua gwaride la askari polisi wa kikosi cha FFU,kabla ya kuanza vikao vya mahakama kuu mjini kigoma. 
 
Jaji Rumanyika akikagua gwaride mjini kigoma
 
Jaji Sam Rumanyika akiondoka Mara baada ya kukagua gwaride , ikiwa ni ishara ya kuanza kwa vikao vya mahakama kuu.
 
 Mkuu wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kigoma bwana Said Kamugisha, akitoa maelezo kwa waandishi aw habari, juu ya wahamiaji haramu wanavyochangia uhalifu mkoani kigoma, kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa kigoma.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DEOGRATIUS NSOKOLO-KIGOMA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!