Searching...
Jumatatu, 20 Mei 2013

ANGALIA JINSI CHADEMA WALIVYOZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI ARUSHA

Picha juu ni Maelfu ya wananchama wa Chadema Wakiwa kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Arusha Jana kwa ajili ya uchaguzi wa madiwani wa kata nne; Elerai, Kaloleni, Themi na Kimandolu ambazo madiwani wake walifukuzwa uanachama na chama hicho huku kikitamba kuwa hakina uchaguzi Arusha ila CCM ndio wenye uchaguzi.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!