WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA
HEWA KWA SAA12 ZIJAZO
KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 09/04/2013.
[Mikoa ya Dar es Salaam, na Tanga]:
[Mikoa ya Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mkoa wa Ruvuma]:
|
Hali ya mawingu kiasi ,mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Mbeya Rukwa,na Iringa]:
[Mikoa ya Kigoma, na
Tabora]:
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na
Shinyanga]:
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo
Katika baadhi ya maeneo
na vipindi vifupi vya jua
|
ANGALIZO: Vipindi vichache vya
mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Kilimanjaro, Arusha
na Manyara.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
26°C
|
12:44
|
D'SALAAM
|
33°C
|
12:33
|
DODOMA
|
29°C
|
12:47
|
KIGOMA
|
25°C
|
01:11
|
MBEYA
|
23°C
|
12:56
|
MWANZA
|
24°C
|
12:58
|
TABORA
|
28°C
|
12:59
|
TANGA |
32°C
|
12:34
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
12:33
|
PEMBA
|
31°C
|
12:29
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:35
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa pwani yote.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumanne 09/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 09/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni