WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 07/04/2013.
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Dar es
Salaam,Tanga, Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
![]() |
Hali ya mawingu ,mvua na
ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
[Mikoa ya Kigoma, na
Tabora]:
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo
kwa maeneo machache na
vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa ,Mbeya na
Iringa]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo
kwa maeneo machache na
vipindi vya jua
|
[Mkoa wa Ruvuma]:
|
![]() |
Hali ya mawingu, mvua katika
maeneo machache na vipindi vya jua.
|
ANGALIZO: Kunatarajiwa kuwepo kwa ongezeko la mvua
katika mikoa ya Kigoma, Tabora, Tanga na visiwa vya Unguja na Pemba.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
12:44
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:33
|
DODOMA
|
30°C
|
12:47
|
KIGOMA
|
30°C
|
01:11
|
MBEYA
|
23°C
|
12:56
|
MWANZA
|
28°C
|
12:58
|
TABORA
|
28°C
|
12:59
|
TANGA |
32°C
|
12:34
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
12:33
|
PEMBA
|
32°C
|
12:29
|
MOROGORO
|
31°C
|
12:35
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya kusini na utavuma kutokea Kusini kwa kasi
ya km 20 kwa saa pwani ya Kaskazini..
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo
madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa
siku ya Jumapili 07/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 07/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni