Searching...
Jumatano, 10 Aprili 2013

UHURU KENYATA AAPISHWA KUWA RAIS WA NNE WA JAMUHURI YA KENYA.

RAIS WA KENYA UHURU KENYATA AKILA KIAPO KWA KUNYANYUA BIBLIA JUU HUKU MKE WAKE AKISHUHUDIA KWA PEMBENI

RAIS WA KENYA UHURU KENYATA AKIKABIDHIWA FIMBO NA RAIS MSTAAFU MWAI KIBAKI KAMA ISHARA YA KUKABIDHIWA RASMI JUKUMU LA KUIONGOZA NCHI HIYO.

RAIS WA KENYA UHURU KENYATA AKINYANYUA FIMBO YAKE JUU KAMA ISHARA YA KUKUBALI JUKUMU LA KUIONGOZA NCHI HIYO

RAIS MSTAAFU WA KENYA MWAI KIBAKI AKIPOKEA HESHIMA YA MWISHO YA KUAGWA RASMI KAMA RAIS WA KENYA NA KUMPISHA UHURU KENYATA.

RAIS MSTAAFU WA KENYA MWAI KIBAKI AKIWAAGA WAKENYA

UMATI WA WANANCHI WA KENYA WALIOJITOKEZA KUMUAGA RAIS MWAI KIBAKI NA KUSHUHUDIA RAIS WAO MPYA UHURU KENYATA AKILA KIAPO KUIONGOZA NCHI HIYO.

RAIS WA KENYA UHURU KENYATA AKIWAAGA MAELFU YA WAKENYA WALIOJITOKEZA UWANJA WA KASARANI JIJINI NAIROBI BAADA YA KUAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA NNE WA KENYA NA KUTOA AHADI KIBAO KWA WAKENYA.
Picha kwa hisani ya mwaipaya blog.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!