Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakisimama kwa dakika moja
kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Uganda
Marehemu Eriya Kategaya wakati wa ufunguzi wa kikao cha kumi na moja
cha Jumuiya hiyo jijini Arusha leo mchana. Katika Hoteli ya
Ngurdoto.Kutoka kushoto Rais Wa Burundi Pierre Nkurunzinza,Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye kikao cha kumi na moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha leo.
Baadhi ya wajumbe walioshiriki ufunguzi wa kikao cha Juu cha kumi
na moja cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(11th
Extraordinary EAC Summit) kilichofanyika jijini Arusha(picha na Freddy
Maro)
0 comments:
Chapisha Maoni