ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOANI KIGOMA WAKIINGIA MSITUNI NA SILAHA NZITO KUFANYA OPARESHENI WAHALIFU MSITUNI.
ASKARI WA JESHI LA POLISI KIGOMA WAKIWA WAMEMUWEKA CHINI YA ULINZI KIJANA RAIA WA BURUNDI ANAYEDAIWA KUINGIA NCHINI KINYUME CHA SHERIA NA KUFANYA KAZIKATIKA SHAMBA LA MKAZI MMOJA WA WILAYA YA KIBONDO.
WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KANDO YA HIFADHI YA MSITU WA MUYOWOSI GAME RESERVE WILAYANI KIBONDO MKOANI KIGOMA WAKATI WA OPARESHENI YA KUSAKA WAHALIFU MSITUNI.PICHA KWA HISANI YA DEOGRATIUS NSOKOLO.
0 comments:
Chapisha Maoni