Searching...
Jumanne, 9 Aprili 2013

MAONYESHO YA AJIRA KIGOMA

MKUU WA MKOA WA KIGOMA LUTENI KANALI MSTAAFU ISSA MACHIBYA AKIFUNGUA MAONYESHO YA AJIRA KWA WATUMISHI WA SEKTA YA AFYA MKOANI KIGOMA.
MAONYESHO HAYO YAMEANDALIWA NA MFUKO WA RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA FOUNDATION AMBAPO ILIELEZWA KWAMBA MKOA WA KOGOMA UNA UPUNGUFU WA ZAIDI YA ASILIMIA 64 YA WATUMISHI KATIKA SEKTA YA AFYA.

SEHEMU YA WANAFUNZI WA CHUO CHA TABIBU MKOANI KIGOMA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MKUU WA MKOA HUO LUTENI KANALI MSTAAFU ISSA MACHIBYA WAKATI AKIFUNGUA MAONYESHO YA AJIRA MKOANI HUMO.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DEOGRATIUS NSOKOLO-KIGOMA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!