Searching...
Jumatano, 17 Aprili 2013

MADAKTARI BINGWA ZIARANI KIGOMA KUTOA HUDUMA ZA KITABIBU.

 KAIMU MKUU WA MKOA WA KIGOMA BWANA RAMADHANI MANENO (KATIKATI) AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MADAKTARI BINGWA WALIOPO MKOANI HUMO KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA YA MATIBABU KWA WANANCHI WA MKOA HUO
 BAADHI YA WATUMISHI WA HOSPITALI YA MAWENI KIGOMA WAKIWA KATIKA MKUTANO NA MADAKTARI BINGWA
NAIBU MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA BWANA HAMIS MDEE AKITOA MAELEZO KABLA YA MADAKTARI BINGWA HAWAJAANZA KAZI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA KIGOMA MAWENI
KAIMU MKUU WA MKOA WA KIGOMA BWANA RAMADHANI MANENO,AKIZUNGUMZA NA MADAKTARI BINGWA WALIOPO KIGOMA KWA MUDA WA WIKI MOJA WAKITIBU WANANCHI KWA MSAADA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA.
Habari na picha kwa hisani ya Deogratius Nsokolo-kigoma

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!