WAPIGANAJI WA M 23 WAKIWA NA SILAHA NZITO KATIKA MJI KIWANJA WILAYANI RUNJURO KIVU KASKAZINI WAKIHAKIKISHA USALAMA WA MKUTANO HUO HUKU RAIS WA KIKUNDI HICHO (HAYUPO PICHANI) AKIWAHUTUBIA WANANCHI KUHUSU UJIO WA KIKOSI CHA UMOJA WA MATAIFA KIKOSI KINACHOZIJUMUISHA NCHI ZA TANZANIA,AFRIKA KUSINI PAMOJA NA MALAWI AMBAPO WAMEAPA KUPAMBANA NA KIKOSI HICHO MPAKA TONE LAO LA MWISHO LA DAMU.
RAIS WA M 23 BWANA DERIBTRAA DISHIMWA AKIWAHUTUBIA WANANCHI HUKO KIVU YA KASKAZINI NCHINI DRC
ASKARI WA M23 WAKILINDA DORIA WAKATI MKUTANO WA KIONGOZI WAO NA WANANCHI UKIENDELEA
MAANDALIZI YA MKUTANO WA USULUHISHI HUKO MUNYONYO KAMPALA NCHINI UGANDA
WAANGALIZI WA NJE WAKIWA KATIKA MKUTANO WA USULUHISHI WA MZOZO KATI YA SERIKALI YA DRC NA KIKUNDI CHA M23 MKUTANO UNAOENDELEA NCHINI UGANDA
MSULUHISHI WA MZOZO KATI YA SERIKALI YA DRC NA KIKOSI CHA M23 AMBAYE PIA NI WAZIRI WA ULINZI WA UGANDA BWANA CHRISPET KIYONGA AKIFUATILIA KWA MAKINI MAAZUNGUMZO YA USULUHISHI NCHINI UGANDA.
Picha na habari kwa hisani yaAUSTERE MALIVIKA akiwa Uganda.
Picha na habari kwa hisani yaAUSTERE MALIVIKA akiwa Uganda.
0 comments:
Chapisha Maoni