..............................BREAKING NEWSSSSSSSSS ...............................
Jaji mstaafu na ambaye alikua mjumbe wa tume ya kurekebisha katiba mheshimiwa ERNEST MWAIPOPO amefariki dunia jioni hii baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka iringa alipokuwaa kwa mapumziko ya pasaka kupata ajali mkoani morogoro na kufariki dunia papo hapohuku watu wengine wanne wakiwa wamejeruhiwa vibayapicha za ajali hii zitawekwa muda mfupi ujao
0 comments:
Chapisha Maoni