Searching...
Jumapili, 14 Aprili 2013

HII NDIO PICHA YA NDEGE NA MAREHEMU ILIYOMUUA BABU SAMBEKE JANA


NI MASIKITIKO MAKUBWA KIFO CHA MFANYIBIASHARA MAARUFU NCHINI TANZANIA KILICHOTOKEA JANA MAJIRA YA SAA KUMI NA MBILI NA DAKIKA HAMSINI NA TATU JIONI BAADA YA NDEGE YAKE BINAFSI ALIYOKUA ANAITUMIA KUSAFIRIA KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA WEST KILIMANJARO MKOANI KILIMANJARO KWENDA JIJINI ARUSHA KUANGUKA MUDA MFUPI KABLA YA KUTUA.
                   MAREHEMU BABU SAMBEKE
                                       R.I.P BOB.
Picha na Habari kwa hisani ya Amani Mongi-Kilimanjaro.


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!