Searching...
Jumanne, 23 Aprili 2013

CHANJO YA NUMONIA YATOLEWA KIGOMA

 Akinamama wa mji mdogo wa Nguruka wakisubiri watoto wao walio chini ya umri wa mwaka mmoja kupatiwa chanjo ya kuharisha na nimonia.

 Mganga mkuu wa kituo cha afya Nguruka Dk . Chamgeni akitoa maelezo juu ya chanjo kwa Akinamama wa Nguruka

PICHA ZOTE KWA HISANI YA DEOGRATIUS NSOKOLO - KIGOMA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!