Searching...
Ijumaa, 12 Aprili 2013

DC SOKONI

Mkuu wa wilaya ya singida mwalimu Queen Mulonzi (wa pili kulia) akizungumza na katibu wa soko la vitunguu Misuna Jonathan Gunda (kushoto aliyeshika vitunguu)


Baadhi ya wakazi wa singida wakichangamkia ajira ya kuchambua vitunguu na kuvijaza kwenye magunia kama ambavyo wanaonekana kwenye picha

                                        Akina mama kazini

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!