Searching...
Jumatatu, 8 Aprili 2013

ASKARI WAINGIA MSITUNI NA SILAHA NZITO KUNG'OA BANGI KIBONDO.

 ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOANI KIGOMA WAKIONGOZWA NA KAMANDA WA POLISI MKOANI HUMO KAMANDA FAISSER KASHAI MKUU WA WILAYA YA KIBONDO BWANA VENANCE MWAMOTO KWENYE OPERESHENI NG'OA NA TEKETEZA BANGI KIBONDO
 BANGI KATIKATI YA MSITU MNENE HUKO KIBONDO MKOANI KIGOMA
KAMANDA WA POLISI MKOANI KIGOMA FAISSER KASHAI (aliyetangulia mbele amevaa uniform)NYUMA YAKE NI MKUU WA WILAYA YA KIBONDO WAKIVUKA MTO KUELEKEA MSITUNI KUTEKETEZA ZAO LA BANGI AKIWA NA KIKOSI KAMILI CHA ASKARI NA SILAHA ZA KIVITA.



 ZOEZI LIKIWA LIMEKAMILIKA NA BANGI SASA INACHOMWA MOTO.


PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DEOGRATIUS NSOKOLO-KIBONDO KIGOMA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!