Searching...
Jumapili, 31 Machi 2013



        WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
 UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 01/04/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:

Hali ya mawingu, mvua na  ngurumo  katika  baadhi ya maeneo  na vipindi vifupi vya jua.
 [Mikoa ya Rukwa na Singida ]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na Dodoma]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu, mvua  na ngurumo katika  maeneo  machache na vipindi  vya jua.
 [Mikoa ya Dar es salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[ Mkoa wa Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua  katika  maeneo  machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi  na vipindi vya jua.
Ushauri:

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
12:38
D'SALAAM
31°C           
12:25
DODOMA
30°C
12:39
KIGOMA           
29°C
01:05
MBEYA
24°C
12:48
MWANZA
27°C
12:53
TABORA
28°C
12:53
TANGA
32°C
12:28
ZANZIBAR
29°C           
12:25
PEMBA
                     31°C
12:28
MOROGORO
30°C
12:32

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa  kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa sa kwa pwani ya Kusini. 

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo hadi makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo  Jumatatu: 01/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 01/04/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!