Searching...
Jumamosi, 21 Juni 2014

...BREAKING NEWSSS...AJALI MBAYA YAUA ZAIDI YA WATU 10 LUGALO JIJINI DSM




 
Kushoto ni gari ndogo aina ya Range Rover ambayo iligongwa na Daladala (kulia) iliyosababisha ajali hiyo.
 
Daladala hiyo inavyoonekana mara baada ya ajali.

 
Kushoto ni gari ndogo aina ya Range Rover ambayo iligongwa na Daladala (kulia) iliyosababisha ajali hiyo

 
Daladala hiyo inavyoonekana mara baada ya ajali

 
Askari wa usalama akichukua maelezo eneo la tukio

 
Eneo la ajali linavyoonekana mchana huu

Magari mawili aina ya Coaster yanayosafirisha abiria kati ya Mwenge, Tegeta na Mbezi jiijini Dar, yamegongana na kuua abiria wanaokadiriwa kufikia zaidi ya 10, ajali hiyo imetokea mchana huu eneo la Makongo. Mashahuda wa ajali hiyo wamesema kuwa uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta ndiyo uliosababisha ajali hiyo, kwani alipita upande usiyo wake.
(PICHA: GABRIEL NGOSHA NA HARUNI SANCHAWA) VIA GLOBAL PUBLISHERS

1 comments:

  1. HUYU DEREVA ANAONEKANA ALIKUA AMELEWA GONGO, MSHEZI KABISAAAA

    JibuFuta

 
Back to top!