Raisi wa Marekani Barack Obama akiwa ndani ya Ndege yake ya Rais anaishuhudia timu yake ya taifa ikichuana na Ujerumani katika michuano ya kombe la dunia inayoendelea huko nchini Brazil,japo walifungwa 1-0 lakini wametinga 16 bora na kuziacha Ghana na Ureno zikifungasha virago.
Rais Obama akijadili jambo kuhusu timu yake ya taifa na mmoja wa
washauri wake wakiwa angani ndani ya ndege ya rais Air Force One

Mashabiki wa timu ya taifa ya Marekani wakishangilia kwa nguvu baada ya kufanikiwa kutinga 16 bora.

Mchezaji wa Ujerumani Thomas Muller akiwafunga wamarekani

Kocha wa Marekani Jurgen Klinsmann aliandika barua kwa waajiri nchini Marekani kuwapa nafasi wafanyakazi wao kushuhudia mechi kati yao na Ujerumani.

Hatimaye Gavana wa jimbo la New York Andrew Cuomo aliitikia wito na kumjibu Klinsmann na kumjulisha kwamba ombi lake limekubaliwa.

Mashabiki wa Marekani wa jimbo la California wakisikitika baada ya timu yao kufungwa na Ujerumani1-0
huu ndio ujumbe uliotumwa kwenye ukurasa wa twitter wa timu ya taifa ya Marekani baada
0 comments:
Chapisha Maoni