MOHAMED SALAH.
Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuipiku klabu ya Liverpool na
kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Fc Basle ya nchini Uswizi raia wa
Misri,Mohammed Salah kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 1.
Salah maarufu kama Messi wa Misri kwa mkataba wa muda mrefu
Mmisiri huyo alikuwa akiwaniwa sana na Liverpool.
0 comments:
Chapisha Maoni