BI.BADRA MASOUD-AFISA HABARI WA TANESCO.
Shirika la umeme nchini TANESCO limetangaza rasmi kuanza kwa mgawo wa umeme kuanzia leo Jumamosi Novemba 16.
Shirika la umeme nchini TANESCO limetangaza rasmi kuanza kwa mgawo wa umeme kuanzia leo Jumamosi Novemba 16.
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, afisa uhusiano wa TANESCO
Bi Badra Masoud amesema mgawo huo utahusisha mikoa yote iliyounganishwa
na gridi ya taifa
Amesema
sababu ya kuanza kwa mgawo huo ni kutokana na kupungua kwa gesi
kutokana na matengenezo yanayoendelea katika vinu vya gesi huko
Songosongo mkoani Lindi
0 comments:
Chapisha Maoni