Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi.

Babu Seya na Papii Kocha
 walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na 
hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini 
Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga 
mwamba. 
Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.
Chanzo: GPL 

0 comments:
Chapisha Maoni