Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano cha vodacom Tanzania bwana Kelvin Twissa,akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Kempiski (Kilimanjaro Hotel)Jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza ujio wa mwanamuziki mkali wa Nigeria P Square ambaye atatua na wanamuziki wake wengine 13 na kupiga show moja tu tarehe 23/10/2013.
Pembeni ni mtangazaji wa East Africa Radio/TV ambao ndio waandaaji wa onyesho hilo na vodacom ndio mdhamini mkuu wa ujio huo.
0 comments:
Chapisha Maoni