Searching...
Alhamisi, 31 Oktoba 2013

MADRID WAIUA SEVILLA 7-3 BALE AANZA KUNG'ARA,BENZEMA ATOA MAKUCHA RONALDO APIGA HAT TRICK

Bale bags first Real Madrid brace 
GARETH BALE AKISHANGILIA GOLI LAKE LA PILI ALILOIFUNGIA TIMU YAKE JANA USIKU WAKATI REAL MADRID WALIPO PAPATUANA NA SEVILLA NA KUIBUKA NA USHINDI WA MAGOLI 7-3 HUKU CHRISTIAN RONALDO AKIPIGA HAT TRICK
Real Madrid's Welsh striker Gareth Bale 
WACHEZAJI WA MADRID WAKISHANGILIA MOJA YA MAGOLI 7-3 WALIPOWABANJUA SEVILLA PASIPO HURUMAAncelotti: We will soon see the Real Bale 
 GARETH BALE MCHEZAJI GHALI DUNIANI AKIWA KAZINI

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!