Waigizaji Elizabeth Michael (LULU) na
Vicenti Kigosi (Ray) wamechaguliwa kuwa mabalozi wa wasanii wenzao
katika tamasha la filamu la Dar filamu Festival litakalofanyika kuanzia
tarehe 24 – 26. Katika press Release iliyotolewa na kampuni inayoandaa
tamasha hilo imesema kuwa pamoja na mambo mengi, tamasha hilolitatoa
mafunzo kwa wadau mbalimbali wa Filamu Tanzania.
Jumanne, 10 Septemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni