Wanahabari
wa vyombo mbali mbali na wadau wa habari mkoa wa Iringa wakiwa
katika maandamano ya amani ya kumuenzi aliyekuwa mwenyekiti wa klabu
ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) leo
Maandamano ya wanahabari na wadau wa habari yakipita eneo la soko kuu la manispaa ya Iringa
katibu
wa IPC Francis Godwin akiongoza maandamano ya wanahabari na wadau
huku akiwa juu ya gari na picha ya marehemu Daudi Mwangosi
Wanahabari Iringa katika maandamano ya kumuenzi marehemu Mwangosi.
Maandamano
ya wanahabari na wadau wa habari mkoa wa Iringa ya kumuenzi
marehemu Daudi Mwangosi yakipita eneo ya uhindini
Wananchi wakishuhudia maandamano hayo jana
0 comments:
Chapisha Maoni