Searching...
Jumatatu, 19 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMANNE-AGST 20,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 20/08/2013.
[Mikoa ya Kagera ,Mara na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga, Pwani Morogoro  na
Dar Es Salaam]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Mbeya na Iringa]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora,Kigoma na Shinyanga,]:
[Mikoa ya Mtwara , Lindi ,Dodoma, Rukwa,  Ruvuma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
12:38
D'SALAAM
30°C           
12:21
DODOMA
28°C
12:37
KIGOMA           
31°C
01:02
MBEYA
25°C
12:42
MWANZA
27°C
12:52
TABORA
32°C
12:50
TANGA
27°C
12:25
ZANZIBAR
30°C           
12:21
PEMBA
28°C           
12:25
MOROGORO
29°C
12:28
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
Matazamio kwa usiku wa Jumanne: 20/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 20/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!