Searching...
Jumatatu, 5 Agosti 2013

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA IRAN MJINI TEHERANI HII LEO

Makamu wa rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dk.Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na rais mstaafu wa wa Jamuhuri ya kiislamu ya Iran Bwana Al-Akbar Hashemi Rafsanjani wakati makamu wa rais alipofika kwenye makazi ya rais huyo mjini Teherani Iran hii leo jumatatu Agugost 05,2013. makamu wa rais yupo nchini Iran kwa ziara ya ya kiserikali kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa nchi hiyo.
akizungumza na rais mstaafu wa wa Jamuhuri ya kiislamu ya Iran Bwana Al-Akbar Hashemi Rafsanjani wakati makamu wa rais alipofika kwenye makazi ya rais huyo mjini Teherani Iran hii leo jumatatu Agugost 05,2013. makamu wa rais yupo nchini Iran kwa ziara ya ya kiserikali kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa nchi hiyo.Makamu wa rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dk.Mohamed Gharib Bilal akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa rais mstaafu wa Iran alipotembelea makazi ya rais Al-Akbar mjini Teherani nchini Iran hii leo jumatatu

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!