Kaimu
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Bi. Suzzan Kaganda Akiongea na
waandishi wa Habari hawapo pichani, Katika ukumbi wa Mikutano wa Jeshi
la Polisi Mkoa wa Dodoma Kuhusia na ajali iliyotokea katika kijiji cha
Fufu, Kata ya Fufu, Wilaya ya Chamwino, ambapo takribani magari matano
(5) yaliyokuwa kwenye msafara wa Mwenge wa Uhuru, yakitokea Wilaya ya
Dodoma kuelekea kwenye makabidhiano Wilaya ya Mpwapwa, ambapo Watu
wapatao tisa (9) walijeruhiwa katika ajali hiyo
Mkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Dodoma, Mrakibu wa Jeshi la
Polisi Bw. Bonventure Nsokolo Akikagua moja ya gari iliyoharibika katika
ajali iliyotokea katika kijiji cha Fufu, Kata ya Fufu, Wilaya ya
Chamwino, ambapo takribani magari matano (5) yaliyokuwa kwenye msafara
wa Mwenge wa Uhuru, yakitokea Wilaya ya Dodoma kuelekea kwenye
makabidhiano Wilaya ya Mpwapwa
Baadhi
ya washiriki walikuwa katika msafara wa kwenda kukabidhi mwenge kutoka
wilaya ya Dodoma mjini na kuukabidhi katika wilaya ya Mpwapwa
wakiangalia moja ya magari yaliyoharibika baada ya kutokea ajali hiyo
Gari namba DFP.7178 TOYOTA LAND CRUISER (AMBULANCE) ambayo ni mali ya
Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma
Picha na Luppy Kung’alo wa Jeshi la Polisi Dodoma
0 comments:
Chapisha Maoni