BASI LATURU LINALO FANYA SAFARI KATI YA SINGIDA NA HAYDOMU MKOANI
MANYARA LIKIWA LIMEPIGWA MAWE NA KUCHOMWA MOTO NA WANANCHI WA VIJIJI
VITATU VYA NKUNGI ,SINGA NA HILBADAMU WILAYANI MKALAMA MKOA WA SINGIDA
SEHEMU YA MBELE .KUFUATIA MBASI YA KAMPUNI HIYO WIKI TATU ZILIZO PITA
KUMBURUZA AJENTI WA MABASI HAYO UMBALI WA KM 1.5 NA KUSABABISHA KIFO.
WAANDISHI WA HABARI WA ITV,TBC.C-TEN WAKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUPATA
HABARI KWA BAADHI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KATIKA BASI HILO NA
KUTAKUFAHAMU MUSTAKABALI MZIMA WA SAFARI YAO.
Picha na Elisante
Mkumbo-Singida
0 comments:
Chapisha Maoni