Searching...
Jumatano, 24 Julai 2013

WAKIMBIZI WA DRC NCHINI WAIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUSAIDIA AMANI DRC

Wakimbizi wa Congo DRC wakimsikiza Naibu waziri wa mambo ya ndani mh. pereira Ame Silima aliyetembelea kambi hiyo.

Mwakilishi mkazi wa shirika la kuhudumia wakimbizi duniani UNHCR hapa nchini, Joyce Mends-cole mwenye kofia akicheza ngoma na Akinamama wakimbizi toka Congo DRC katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kasulu mkoani Kigoma.
 Ngoma ikiwa imepamba moto
 Kutoka kushoto, mkuu aw wilaya ya kasulu Dan Makanga, Naibu waziri aw mambo ya ndani mh.Pereira Ame Silima na mwakilishi mkazi wa shirika la kuhudumia wakimbizi duniani UNHCR nchini Joyce Mends-cole.
 Kikundi cha ngoma ya utamaduni toka Burundi kikitumbuiza wakati naibu waziri aw mambo ya ndani alipotembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu wilayani kasulu. Kambi hiyo ambayo ni ya wakimbizi toka Congo DRC Ina wakimbizi wacahache toka Burundi .
HABARI NA PICHA KWA HISANI YA DEOGRATIUS NSOKOLO-KIGOMA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!