Searching...
Jumapili, 28 Julai 2013

GARETH BALE AKASIRISHWA KUBANIWA KWENDA MADRID

Bale 'fuming as Levy snubs £86m Real bid'GARETH BALE-TOTTENHAM
Mchezaji wa Klabu ya Tottenham anayewaniwa na klabu tajiri ya Hispania Real Madrid Gareth Bale ameripotiwa kukasirishwa na uongozi wa Tottenham kumkatalia kwenda Hispania kukipiga na Madrid kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 86 ambayo atakua amevinja rekodi ya dunia ikilinganishwa ile aliyonunuliwa nayo Christian Ronaldo ya paundi milioni 80.
Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy amekataa kata kata kumuachia Bale kwa kitita hicho kikubwa akiamini kwamba Real wanaweza wakafikia dau la paundi milioni 100.
Gazeti laThe Sun limeandika kwamba Spurs wanaweza wakamuachia Bale aende Madrid kama tu watatoa ofa ya milioni 100 pamoja na wachezaji wawili muagentina Angel Di Maria na mreno Fabio Coentrao.
Tottenham Hotspur chairman Daniel Levy
DANIEL LEVY-MWENYEKITI TOTTENHAM

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!