Searching...
Jumamosi, 24 Agosti 2013

USAJILI ULAYA CHELSEA WALAMBA DUME,TOTTENHAM WAWEWESEKA.

Mourinho confirms Chelsea plans to sign WillianWILLIAN BORGES DA SILVA.
Hatimaye Chelsea wamewazidi kete Tottenham baada ya kumsajili mchezaji nyota wa kimataifa wa Brazili aliyekua akikipiga na Anzhi usajili ambao umefanyika muda mfupi baada ya mchezaji huyo kukamilisha vipimo vya afya vya nyota huyo...Taarifa za uhakika zilizotoka muda huu kutoka klabu ya Chelsea zinasema Willian amekubali kusaini mkataba wa kukipiga na Chelsea kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 30 mkataba wa miaka mitano.Soccer - Super Cup Preview PackageJOSE MOURINHO

1 comments:

 
Back to top!