Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akizindua maabara ya mafunzo ya Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano{ Tehama } ya chuo Kikuu
huria cha Tanzania katika kituo cha Uratibu cha Chuo hicho kiliopo Zanzibar
hapo Beit El- Ras Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Balozi Seif akiwapongeza wanafunzi
wa Kituo cha uratibu cha chuo kikuu Huria Tanzania kiliopo Beit El Ras kwa
uamuzi wao wa kujipatia mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano { Tehama
}.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akizungumza mara baada ya kuizindua maabara ya mafunzo ya
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano {
Tehama } ya chuo Kikuu huria cha Tanzania katika kituo cha Uratibu cha Chuo
hicho kiliopo Zanzibar hapo Beit El- Ras.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Chuo Kikuu Huria cha
Tanzania mara baada ya uzinduzi wa maabara ya mafunzo ya { Tehama } ya chuo
Kikuu huria cha Tanzania katika kituo cha Uratibu cha Chuo hicho kiliopo
Zanzibar.
0 comments:
Chapisha Maoni