Searching...
Jumanne, 20 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMATANO,AGST.21,2013



  WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 21/08/2013.
[Mikoa ya Kagera ,Mara na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga,  Pwani  na Dar Es Salaam]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Morogoro, Lindi na Iringa]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua

 [Mikoa ya Mtwara, Dodoma,   Ruvuma na Singida]:
[Mikoa ya Tabora,Kigoma, Rukwa na Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
      24°C               
12:37
D'SALAAM
          30°C           
12:22
DODOMA
27°C
12:37
KIGOMA           
31°C
01:02
MBEYA
26°C
12:43
MWANZA
30°C
12:51
TABORA
32°C
12:50
TANGA
28°C
12:25
ZANZIBAR
          29°C           
12:22
PEMBA
          28°C           
12:25
MOROGORO
30°C
12:29
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
Matazamio kwa usiku wa Jumatano: 21/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 21/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!