Searching...
Jumapili, 18 Agosti 2013

USHAHIDI MPYA KUHUSU KIFO CHA PRINCESS DIANA WAWASILISHWA

Police probe 'new info' over Princess Diana deathMAREHEMU PRINCESS DIANA-ALIFARIKI MWAKA 1997 JIJINI PARIS NCHINI UFARANSA KWA AJALI YA GARI.
Hatimaye sakata la kutafuta undani na ukweli kuhusu kifo cha Princess Diana umechukua sura mpya baada ya askari wa upelelezi wa Metropolitan wamewasilisha ushahidi mpya huko Scotland Yard-polisi wamethibitisha.
Maofisa maalumu wa upelelezi kuhusu makosa ya jinai wa polisi kutoka Metropolitan sasa wanapitia taarifa mpya kama ni za kweli ama la.
Police services prepare to take away the car in which Diana, Princess of Wales, died early Sunday, Aug. 31, 1997 in Paris, in a car crash that also killed her boyfriend, Dodi Fayed, and the chauffeur. Plans for CBS television in the USA to show for the first time images of the dying princess after the crash, taken from the police investigation, were criticised by Dodi's father and the British press Thursday April 22 2004. (AP Photo/Jerome Delay)
ASKARI POLISI WA UFARANSA WAKILIKAGUA GARI ALILOPATA NALO AJALI NA KUFARIKI DUNIA PAPO HAPO MWAKA 1997.
Taarifa ya polisi inasema Metropolitan wamepata taarifa ambazo hapo mwanzo zilipokelewa kuhusiana na msiba huo na kuzichunguza kama zina uhusiano na ajali hiyo au la.
‘uchunguzi utafanya na maofisa maalumu waliobobea katika fani ya makosa ya jinai na operesheni maalumu.
‘Huu sio uchunguzi mpya na haufanywi na chini ya operesheni ya Paget.’alikaririwa msemaji wa
Scotland Yard na kuongeza kuwa swala hilo halipaswi kujadiliwa sana"
Police probe 'new info' over Princess Diana death
ENZI ZA UHAI WAKE PRINCESS DIANA ALIPOTEMBELEA NCHINI ANGOLA.
Princess Diana alifariki dunia katika ajali hiyo ya gari nchini Ufaransa akiwa na rafiki yake Dodi Al Fayed, ambaye naye pia alifariki papo hapo.
Uchunguzi mkubwa wa kifo cha Diana unafanywa na mwanasheria Scott Baker, ambapo ulifanywa mwaka 2007-8

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!