Searching...
Jumapili, 18 Agosti 2013

ROONEY AKATAA KUSHANGILIA USHINDI,ASEMA ANATAKA KUONDOKA MAN U,CHELSEA KUTUMA OFA YA PAUNDI MILIONI 40

Looking to leave: Rooney was commited during the game at Swansea but couldn’t hide his emotions  
WAYNE ROONEY
Pamoja na kuisaidia timu yake ya Manchester United kushinda jana mabao 4-1dhidi ya Swansea huku akichangia pasi mbili za mwisho zilizozaa mabao mawili kati ya hayo bado WAYNE ROONEY amekataa kushangilia ushindi huo wa kwanza wa kocha wao mpya David Moyes kama njia mojawapo ya kuonyesha hisia zake za kutaka kuondoka klabuni hapo kitendo ambacho mashabiki wa Man u wamekitafsiri kama usaliti.
Bado Rooney anaamini anaweza akafanikiwa kulazimishia kuondoka klabuni hapo japokuwa United wameendelea kusisitiza kwamba Rooney hauzwi.
Wakati hayo yakiendelea huko Manchester United huko darajani kunako Chelsea wapo kwenye mipango ya mwisho kukamilisha mpango wa kutuma ofa ya mwisho ya paundi milioni 40 zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla dirisha la usajili halijafungwa.
 Wayne Rooney akipokea maelekezo kutoka kwa kocha wake kabla ya kuingia uwanjani kutimiza wajibu wa mkataba wake
On the outside: Wayne Rooney (second left) appears not to celebrate Manchester United's third goal with team-mates

Hapa Wayne Rooney mwenye namba kumi mgongoni akionekana peke yake huku wenzake wakionekana kule kwa mbali kulia wakishangilia ushindi baada ya Van Persie kufunga goli lililopatikana baada ya kazi nzuri yake Rooney.
Resignd to his fate: Rooney will remain a Manchester United player for this season

Urafiki wa mashaka au unafiki kazini?
Under instruction: Rooney was a 61st minute substitute for Ryan Giggs, setting up two goals 
Hapa Rooney akiingia uwanjani dakika ya 61 akibadilishana na kocha mchezaji Rayn Gigs
Waiting game: Rooney sits alongside Wilfrid Zaha and Chris Smalling on the United bench

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!