Marehemu Nemela Philip Mangula enzi za uhai wake.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakitoa heshima
zao za mwisho kwa marehemu Nemela Phillip Mangula, binti wa Makamu
Mwenyekiti wa CCM Mhe Phillip Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini
Dar es salaam jana Agosti 19, 2013. Marehemu Nemela amafariki Jumamosi
iliyopita kwa ajali ya gari. mwili wake unatarajiwa kusafirishwa leo
kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Agosti 21, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee
Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Spika wa Bunge
Mhe. Anne Makinda, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na
viongozi wengine wakiwa katika msiba wa binti wa Makamu Mwenyekiti wa
CCM, Phillip Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam.Marehemu Nemela amafariki Jumamosi iliyopita kwa ajali
ya gari jijini Dar es salaam. mwili wake unatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Njombe kwa
mazishi yanayotarajiwa kufanyika Agosti 21, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee
Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Spika wa Bunge
Mhe. Anne Makinda, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na
viongozi wengine wakiwa katika msiba wa binti wa Makamu Mwenyekiti wa
CCM, Phillip Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa
familia ya marehemu baada ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu
Nemela Phillip Mangula, binti wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip
Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam, Agosti 19, 2013.
Marehemu Nemela amafariki Jumamosi iliyopita kwa ajali ya gari. mwili
wake unatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika kesho Agosti 21, 2013.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Chapisha Maoni