Mgeni rasmi Mama Tunu Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya kumsadia mtoto wa kike kushoto kwake ni mkururugenzi Mtendaji wa T-marc Bibi Diana Kisaka ambao
ndio waandaji wa mradi huo kulia kwa mama pinda ni Ludovicka Tarimo
mshauri wa maswala ya jinsia kutoka USAID anayefuatia ni Mkuu wa Vodacom
Foundation Bwana Yessaya Mwakifulefule sherehe hizo zimefanyika mkoani Mtwara.
Mama Tunu Pinda
naonekana akicheza ngoma maarufu ya kimakonde ambayo ilikuwa ikiburudisha
wageni katika uzinduzi wa mradi wakumsaidia mtoto wa kike.
Meneja
wa Vodacom foundation Bwana Mwakifulefule akiwahutubia wageni waalikwa,
ambapo vodacom imehusika katika kuwezesha mradi huo ambao walichangia kiasi
cha shilingi milioni mia moja sitini
Picha na Chris Mfinanga.
0 comments:
Chapisha Maoni