Searching...
Jumamosi, 6 Aprili 2013

UHARIBIFU WA BARABARANI MAKETE - IRINGA




Imebainika kuwa chanzo kikubwa cha kuharibika barabara nyingi wilayani Makete ni kutokana na uzibaji wa mitaro ya kupitishia maji kandokando mwa barabara, si kwamba mitaro haipo bali haijazibuliwa kwa muda mrefu, na ndiyo maana maji yanapita juu ya barabara na mengine kubaki juu ya barabara na ndipo uharibifu hutokea, kama ambavyo picha hizi zinaonesha
Picha na Edwin Moshi-Makete Iringa

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!