Shirika
lisilo la kiserekali la Compation Iternational Tanzania limetoa msaada wa mahindi magunia miamoja themanini na tano yenye
thamani y ash.milioni kuminanane kwa famila za watoto wanao fadhiliwa na
shirika hilo katika klaste ya Itigi wilayani Manyoni
Mkurugenzi wa kituo cha huduma ya motto cha kanisa la FPCT la Itigi
TZ 819 bwana Benedict Mpuya akitoa
maelezo jinsi ya kugawa msaada huo wa chakula
kwa vituo vine TZ 819,TZ341 .TZ556 NA TZ 818
Wazai wa watoto wanaopatiwa huduma ya motto na Compation
Internatiol Tanzania za vituo vya Itigi
wakipatiwa msaada wa mahindi ili kuweza kukabiliana na njaa
Wazazi baada ya kupewa msaada wa mahindi wakiondoka kwa furaha na wameomba
mashirika mengine pia yaige mfano huo wa kuwasaidia familia zingine ambazo zipo
kijijini
Watoto wanao hudumiwa na vituo vya kutoa hudu vya Compation Iternatinal Tanzania
klasta ya Itigi wakipewa huduma ya
uji kilasiku kwa lengo la
kuwasaidia wasiweze kutoroka masomo kwa
sababu ya uhaba wa chakula.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA ELISANTE MKUMBO KUTOKA SINGIDA
0 comments:
Chapisha Maoni