Lionel Messi akipasha misuli katika uwanja wa Etihad tayari kabisa ya kuwavaa wenyeji wao Manchester City leo usiku.
muonekano wa viatu atakavyovitumia Lionel Messi kuwavaa Manchester City leo usiku.

wachezaji wa Barcelona wakipasha misuli katika uwanja wa Etihad tayari kabisa kuwakabili Manchester City leo usiku,mchezo unaovuta hisia za wapenzi wengi kama sio wapenzi wote wa soka duniani.
Leo lazima kieleweke pale katika uwanja wa Etihad
Ni kama Messi ameipania sana hii mechi ya leo.
Sergio Busquets akiwaongoza wachezaji wenzake wa Barcelona katika mazoezi ya viungo ndani ya uwanja wa Etihad.
Leo kazi ipo pale Etihad.
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema havutiwi na mechi hiyo.
Mourinho akipambana katika moja ya mechi kali zilizowakutanisha Barcelona na Real Madrid kipindi hicho akiwafundisha Madrid
Manchester City nao walikua mazoezini huku wakionekana kujiamini zaidi na kiwango chao ukizingatia siku chache tu zilizopita waliwafunga Chelsea mabao 2-0
0 comments:
Chapisha Maoni