Kazi
ni moja tu, nayo ni Kongo kuwa huru, vijana shupavu wanawajibika pichani
ni Mwanajeshi wa Jeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)MONUSCO
yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa
Tanzania(JWTZ)akiwa kwenye Mapigano
Mwanajeshi
wa Jeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)MONUSCO yanayoongozwa na
Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)akiwa kwenye
Mapigano ndani ya Kibati.
Majeshi
ya MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa
Tanzania(JWTZ),yakidhibiti eneo la Kibati ilipokuwa ngome ya M23.
Picha Zote na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)-Upanga
0 comments:
Chapisha Maoni