WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 24/05/2013.
|
[Mkoa wa Kagera]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi mvua ,ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Morogoro
(Kusini), Iringa na Mbeya
( Katika Maeneo ya
Miinuko)]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua
|
|
[Mkoa wa Mara na Kigoma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi ,
ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dar es Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Rukwa, Ruvuma
,Lindi, na Mtwara]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Mwanza na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Tabora, Singida
na Dodoma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro
Kaskazini]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
TAHADHARI:
UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA
BAADHI YA MAENEO YA PWANI
YA KUSINI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA
BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:28
|
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:11
|
|
DODOMA
|
28°C
|
12:26
|
|
KIGOMA
|
29°C
|
12:52
|
|
MBEYA
|
24°C
|
12:31
|
|
MWANZA
|
30°C
|
12:43
|
|
TABORA
|
30°C
|
12:40
|
TANGA |
32°C
|
12:15
|
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:11
|
|
PEMBA
|
30°C
|
12:04
|
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:18
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa
Pwani ya Kaskazini na kutoka
Kusini Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi hadi Makubwa .
Matazamio kwa
usiku wa leo Ijumaa: 24/05/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 24/05/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni